
Kilimo endelevu na misitu

Kilimo kwa Njia ya Mungu
Kilimo kwa Njia ya Mungu ni nini?

Permaculture
Permaculture ndiyo nini?

Hapa unaweza kujifunza jinsi ya kupanda mimea nchini Tanzania. Mimea ina sifa gani na jinsi ya kuitumia mimea hiyo.
Ujifunze kutoka nyumbani
Tarehe za mafunzo mwaka wa 2024-26
Kozi ya msingi
(Kilimo kwa njia ya Mungu, Utangulizi wa Permaculture, n.k.)
May 06 - 09, 2025 Semina ya msingi
Agosti 19 - 22, 2025 Semina ya msingi
Septemba 23 - 26, 2025 Semina ya msingi
November 11 - 14, 2025 Advace Course
Septemba 22 -25, 2026 Semina ya msingi
Oktoba 20 -23, 2026 Semina ya msingi
Novemba 17 - 20, 2026 Advace Course