Msaada na kuchangia

unataka kusaidia? Ndio jinsi unaweza kuifanya:

Omba na sisi:

Tunamshukuru Muumba kwa:

  • Wafanyakazi wetu

  • Mashamba yetu

  • Umbaji wa Mungu hapa Tanzania

  • Mifugo yetu

  • Watu wanaotuombea

  • Watu wanaotusaidia kifedha

Tunamwomba Muumba kwa:

  • Mvua ya kutosha

  • Maendeleo mazuri kwa mimea yetu

  • Ufadhili wa kutosha kwa wafanyakazi wetu 30+

  • Baraka kwa watu na mazingira yetu

  • Baraka kwa kila hatua kwenye huduma yetu


Changia hapa

Tunaomba sana msaada wako! Ukiwa unafurahi kutufadhili usisite kuweka mchango wako kwenye akaunti yetu.

Akaunti ya benki:

Bank: CRDB PLC
Branch: Dodoma Branch
A/C Name: ACT COC TZ
Swift Code: CORUTZTZ
Bank Account No:
USD Account: 0250286209500
TZS Account: 0150286209500

Asante sana, na Mungu akubariki sana!


Kuingia kwenye huduma kwa ajili ya kujitoa

Unataka kutusaidia kwenye huduma na kutumia miezi michache kutoa mchango wako wa msaada wako, bure? Unataka kujifunza mbino mbalimbali na pia kupokea baraka ya Mungu kwenye maisha yako? Ujitoe kwa muda kama volonteer.