Wageni wa Jumapili ya Pasaka

IMG-20210408-WA0005.jpg

Jumapili ya Pasaka tulifurahia kusherehekea ufufuo wa Bwana Yesu na kundi kubwa la wageni kutoka ulimwenguni kote (Ujerumani, Amerika, Tanzania, Kenya, Austria, nk). Tulikuwa na tour ya watu wazima na tour kwa watoto kwenye mashamba yetu ya maonyesho. Tulifurahia uumbaji wa Mungu na maisha mazuri ambayo yanajitokeza kwenye shamba letu la maonyesho. Baada ya tour hizo tukawa tunaendesha ibada ya pamoja. Team yetu walitusaidia kuandaa chakula cha Barbeque kwa watu 60. Kusherehekea Pasaka katika mazingira mabichi ya kijani kibichi, maua na miti vilinukia vizuri sana, kufurahiya wanyama, ndege na wadudu wa kila aina, ilikuwa inatutia raha ya ufufuo ya kweli!

Previous
Previous

Nyumba ya volunteers

Next
Next

Eneo la kuku