Care of Creation Tanzania

ni huduma ya “Kanisa Anglikana Tanzania” pamoja na “Hilfe die ankommt”, na “Care of Creation Inc.”  ambayo imetoka kwenye msingi wa injili, inatoa elimu inayowawezesha watu kuwa na uhakika wa chakula na wakati huo huo, mazingira yanayowazunguka yanapona na kutunzwa sawasawa na mapenzi ya Mungu.

grafik.png

Unataka kujifunza zaidi?

3.jpg

Unataka kujua zaidi juu ya miundo na utaratibu wetu?

impactNEW.jpg

Unataka kujua kitu juu ya mafanikio yetu?