Habari kutoka Tanzania!

Sisi ni Luca (miaka 18), Jasmin (miaka 19) na Noah (miaka 20). Tangu katikati ya mwezi Agosti tumekuwepo Tanzania ambapo tutakaa hadi katikati ya mwezi Juni 2027.

Hapa tunayo fursa ya kufanya kazi katika nyanja tofauti tofauti na kuchangia ujuzi na nguvu zetu, kwenye maeneo mbalimbali mfano katika chekeshea (daycare), vitalu vya miti, na pia katika ufugaji au kazi za fundi Selemala.

Tunamshukuru Mungu sana kwa kutupa nafasi hii ya kutumika hapa nchini, na tunatumai kuwa atatutumia hapa kuwa baraka na chachu ya maendeleo kwa wengine.

Next
Next

Kinyume cha upendo