Kwa watu wengi, shamba letu ni mahali panapowakumbusha Bustani ya Edeni. Mtu yeyote anayeruhusiwa kuona jinsi mazingira yanavyoponywa na kukua hakika ataguswa sana. Vipepeo, ndege, mifugo na wanyama wa porini, mboga, nafaka, na shamba la miti ya matunda hufanya moyo ushangilie na kushangazwa. Njoo ukapate tour yako ya kipekee. Unaweza kuja na kupata tour ya masaa mawili. Katika tour hii unajifunza mbinu mbalimbali za kilimo hifadhi. Pia kuna tour ya kiroho ambapo utabarikiwa sana. Zipo tour za masaa mbalimbali na maada mbalimbali. Usisite kutuuliza kwenye tovuti yetu. Ufanye booking kwenye tovuti halafu njoo. Karibu sana! Unasubiriwa kwa furaha. Tunatoa pia tour za watoto ambapo watoto wanaweza kugusa kondoo nk.. Tunapanga pia tour na agenda yako unayoitaka. Njoo ukajiandikishe na njoo ukajifunze au kufurahiya uumbaji wa Mwenyezi Mungu mwenyewe