Eneo la kuotesha mboga

15 Vegetable-Area.jpg

Shamba lingekuwa nini bila mboga nzuri?

Pembeni ya pilipili yanaoteshwa matango. Kila siku mboga zinavunwa na kuuzwa.

Kwa sasa eneo bado ni dogo, lakini tunaotesha pilipili mbuzi, nyanya na matango, pamoja na mboga mbalimbali za majani kama matembele, mchicha na chainizi. Pia kuna bamia, na tunafanya majaribio ya kupanda mboga za kigeni kama mchicha ya kihindi na vitunguu majani.

Kwa sasa watu wanaonunua hasahasa ni wafanyakazi wetu na majirani, lakini tunao mpango wa kukuza eneo la kuoteshea mboga na kupata soko kubwa zaidi.

Kwa hiyo, mje kututembelea na kuona yatakayotokea baadaye... ;-)

Previous
Previous

Ndege

Next
Next

Kuku