Ni zawadi ya ajabu iliyoje kubarikiwa na ngamia wawili wa ajabu kwenye shamba letu. Majina yao ni
"Emil na Camilla" na wote wana umri wa miaka 2,5. Ni ngamia wa Kiarabu na nit wapole sana na
wenye upole kwelikweli. Emil tayari ameanza kubeba maji ili awasaidie wafanyakazi wetu kumwagilia
sehemu ya juu ya shamba, kwa njia endelevu. Hivi sasa pia anajifunza kubeba watu na yeye ni Emil
mpole, mpole na hata mwenye upendo. Wale, anayewapenda, anawasalimu kwa busu kwenye
kichwa. Ngamia wetu anabrashiwa na kusafishwa kila siku kwa utaratibu bora. Kwa hiyo: Ukiwa
unapenda kuja kupanda mgamia yetu, uwe na furaha, maana baadaya miezi michache Emil atakuwa
tayari kukubeba kwa furaha na upendo na usafi wa hali ya juu. Hivi basi, utakuwa umebarikiwa sana
na upendo na upole wa ngamia yetu. Karibuni sana tena sana!