
Wanyama
Wanyama kwenye Shamba letu
Kondoo
Tuna karibu Kondoo 50, na tumeleta mbegu ya kisasa (Dorper) ili kuboresha kundi letu.
Kuku
Tunao kuku karibu 40, tukiwa pia na mbegu ya kuroila inayofaa kwa nyama na pia kwa mayai.
Mbwa
Tuna mbwa 5
Wanyamapori
Kanu na fungo
Wanakaa kwenye kichaka tulichoacha kama hifadhi ya asili
Zorilla
Wanakaa kwenye kichaka tulichoacha kama hifadhi ya asili
Nyegere
Jamaa huyu anatutembelea mara kwa mara usiku…
Ndege
Idadi na ndege na buonuai vinaongezeka