Msaada na kuchangia

unataka kusaidia? Ndio jinsi unaweza kuifanya:

Omba na sisi:

Tunamshukuru Muumba kwa:

  • Wafanyakazi wetu

  • Mashamba yetu

  • Umbaji wa Mungu hapa Tanzania

  • Mifugo yetu

  • Watu wanaotuombea

  • Watu wanaotusaidia kifedha

Tunamwomba Muumba kwa:

  • Mvua ya kutosha

  • Maendeleo mazuri kwa mimea yetu

  • Ufadhili wa kutosha kwa wafanyakazi wetu 30+

  • Baraka kwa watu na mazingira yetu

  • Baraka kwa kila hatua kwenye huduma yetu


Changia

Unaweza pia kusaidia kwa mchango wako

Tunaomba mchango kwa:

alnei.png

Wafanyakazi walioajiriwa

Hivi sasa tuna wafanyakazi walioajiriwa 30. Mishahara yao inafadhiliwa na watu binafsi wanaoelewa umuhimu wa huduma yetu.

Kwa mchango wako unasaidia sana jamii inayotuzunguka.

fence.png

Fensi

Tunahitaji fensi kwa ajili ya kufuga ng’ombe na mifugo mingine. Tunapoongeza mifugo tunahitaji fensi ya mbuzi, ngamia na ufugaji wa ng'ombe.

Kiasi kinachohitajika: $ 15.000

street.png

Barabara

Kwa kuwa mvua nyingi inanyesha kwa muda mfupi, tunapaswa kutengeneza barabara yetu mara kwa mara.

Kiasi kinachohitajika: $ 1000 kwa mwaka.

ehns.png

Ufugaji wa kuku

Tunataka kutengeneza matoroli manne yanayobeba kuku 1000. Hivi sasa tuna kuku zaidi ya 40. Tumebarikiwa na fensi ya kuku nzuri na kubwa, lakini mabanda yetu hayatoshi kabisa kuendeleza ufugaji. Tuna mpango wa kufuga kuku 1000. Tunaomba msaada ili tutengeneze matoroli manne.

Kiasi kinachohitajika: $ 5000

Changia hapa

Tunaomba sana msaada wako! Ukiwa unafurahi kutufadhili usisite kuweka mchango wako kwenye akaunti yetu.

Akaunti ya benki:

Bank: CRDB PLC
Branch: Dodoma Branch
A/C Name: ACT COC TZ
Swift Code: CORUTZTZ
Bank Account No:
USD Account: 0250286209500
TZS Account: 0150286209500

Asante sana, na Mungu akubariki sana!


Kuingia kwenye huduma kwa ajili ya kujitoa

Unataka kutusaidia kwenye huduma na kutumia miezi michache kutoa mchango wako wa msaada wako, bure? Unataka kujifunza mbino mbalimbali na pia kupokea baraka ya Mungu kwenye maisha yako? Ujitoe kwa muda kama volonteer.